Jumanne, 31 Mei 2016

faida za tende kwa wajawazito

Kila mama anahitaji kuwa na mtoto mzuri na mwenye maadili na malez mazuri..
Hivyo basi inashauriwa kwa mama kuanza malez mazur kwa mtoto wake tangia akiwa tumboni mwake.Anaweza kulifanikisha hilo kwa kuzingatia yale anayoshauriwa na dakatar kipindi cha ujauzito.Kuwa mbishi na kutofuata yale anayoshauriwa itamsababishia yeye mzaz kupoteza ndoto ya kuwa na mtoto bora.
TENDE:
Tende ni tunda ambalo linavunwa kutoka kwenye miti ijukikanayo kama "mitende"
Tende ina faida nyingi sana kwa maisha ya binaadamu ya kila siku.
Hata hivyo kwa mama wajawazito tende ni nzuri sana kutumia haswa kipindi cha wiki 4 za mwisho wa ujauzito.


Inashaurika kula tende sita kila siku katika wiki nne (4) za mwisho wa ujauzito ili kusaidia
Kupunguza inductione na augmentation huko labor,na inasaidia kujifungua salama.

Cutebaby of BET_AFRICA

From @BET_AFRICA
Our #cutebaby of may 31,2016 is princess tiffa,diamond platnumz daughter

Ratiba ya ramadhaan

ratiba ya mwezi mtukufu kwa waislamu yani RAMADHAAN hii hapa

Jumatano, 11 Mei 2016

malezi

Mbali na mjukumu au uwajibu wa mama kama mzazi kwa mtoto na kwa familia kama vile kupika,kusafisha nyumba,kulea watoto na mengineyo.pia mama ni mzaz ambaye anabeba mimba miez 9 na kujifungua mtoto na kumlea kw kumnyonyesha miaka 2.



Inanedele...