Jumanne, 31 Mei 2016

faida za tende kwa wajawazito

Kila mama anahitaji kuwa na mtoto mzuri na mwenye maadili na malez mazuri..
Hivyo basi inashauriwa kwa mama kuanza malez mazur kwa mtoto wake tangia akiwa tumboni mwake.Anaweza kulifanikisha hilo kwa kuzingatia yale anayoshauriwa na dakatar kipindi cha ujauzito.Kuwa mbishi na kutofuata yale anayoshauriwa itamsababishia yeye mzaz kupoteza ndoto ya kuwa na mtoto bora.
TENDE:
Tende ni tunda ambalo linavunwa kutoka kwenye miti ijukikanayo kama "mitende"
Tende ina faida nyingi sana kwa maisha ya binaadamu ya kila siku.
Hata hivyo kwa mama wajawazito tende ni nzuri sana kutumia haswa kipindi cha wiki 4 za mwisho wa ujauzito.


Inashaurika kula tende sita kila siku katika wiki nne (4) za mwisho wa ujauzito ili kusaidia
Kupunguza inductione na augmentation huko labor,na inasaidia kujifungua salama.

Maoni 10 :

  1. Kaz nzuri sana...keep it up mami

    JibuFuta
  2. Kaz nzuri sana...keep it up mami

    JibuFuta
  3. Vp kama utaanza kula mapema zaidi hata wiki ya kumi ya ujauzito wako???

    JibuFuta
  4. Unashauriwa kula tende mda gani ili zifanye kazi vizuri

    JibuFuta
  5. So far nmepata knowledgeable ideas

    JibuFuta
  6. Unatakiwa kula tende ngapi kwa siku mjamzito miezi 9

    JibuFuta