Hivyo basi inashauriwa kwa mama kuanza malez mazur kwa mtoto wake tangia akiwa tumboni mwake.Anaweza kulifanikisha hilo kwa kuzingatia yale anayoshauriwa na dakatar kipindi cha ujauzito.Kuwa mbishi na kutofuata yale anayoshauriwa itamsababishia yeye mzaz kupoteza ndoto ya kuwa na mtoto bora.
TENDE:
Tende ni tunda ambalo linavunwa kutoka kwenye miti ijukikanayo kama "mitende"
Tende ina faida nyingi sana kwa maisha ya binaadamu ya kila siku.
Hata hivyo kwa mama wajawazito tende ni nzuri sana kutumia haswa kipindi cha wiki 4 za mwisho wa ujauzito.
Inashaurika kula tende sita kila siku katika wiki nne (4) za mwisho wa ujauzito ili kusaidia
Kupunguza inductione na augmentation huko labor,na inasaidia kujifungua salama.

Kaz nzuri sana...keep it up mami
JibuFutaKaz nzuri sana...keep it up mami
JibuFutaVp kama utaanza kula mapema zaidi hata wiki ya kumi ya ujauzito wako???
JibuFutaGeorge
FutaUnashauriwa kula tende mda gani ili zifanye kazi vizuri
JibuFutaImekaa vizur nimeipenda
JibuFutaSo far nmepata knowledgeable ideas
JibuFutaUnatakiwa kula tende ngapi kwa siku mjamzito miezi 9
JibuFuta6 tembe
JibuFutaUkizifisha je
JibuFuta